BlogPaper

Mwenye Grandpa Records amejiunga na chama cha Jubilee?

- Mmiliki wa studio ya kisanii ya Grandpa Records amejitokeza na kupinga madai kuwa amejiunga na siasa - Haya yanajiri baada ya gazeti la Standard kuripoti kwamba alijiunga na chama cha Jubilee Habari Nyingine: Jibu la Sonko kwa Peter Kenneth baada ya kumtusi limeacha wengi vinywa wazi Mmiliki wa Grandpa Records amejitenga na madai kwamba amejiunga na siasa na kuwa anawania kiti cha ubunge jijini Nairobi. Madai haya yanajiri baada yake kuonekana akiwa pamoja na waziri wa maji, Eugene Wamalwa kwenye hafla ya Eid Ul Fitr.

Nairobi: Jamaa Ashtakiwa kwa Kumpora Kimabavu Aliyekuwa Mpenzi Wake

Jamaa aliyetuhumiwa kumuibia mpenzi wake wa zamani simu ya mkononi na mkoba baada ya mabishano amekanusha kosa la wizi na shtaka la kuzua vurugu huku akimlaumu babake mrembo huyo kwa masaibu yake. George Gacheru alituhumiwa kumpora kimabavu Jane Njeri simu ya mkononi yenye thamani ya Sh18,000 na KSh 100 kando ya barabara ya Kikuyu huko Riruta, Nairobi mnamo Januari 27 mwaka huu. Mshtakiwa alituhumiwa kutekeleza wizi huo akishirikiana na mwenzae ambaye bado angali mafichoni.

NBA Africa CEO, Victor Williams To Depart Amid Leadership Changes

Victor Williams, the inaugural CEO of NBA Africa, is set to leave his position by the end of December, marking a significant shift in the leadership of the National Basketball Association’s African division. Bloomberg reports that Williams, who has been at the helm since August 2020, played a crucial role in expanding the NBA’s footprint across the continent. Williams, a former executive at Goldman Sachs Group Inc. and Standard Bank Group Ltd, was instrumental in establishing the Africa Basketball League, the NBA’s first professional league outside the United States.

Paris Anderson - Age, Family, Bio

Instagram star who became known as the girlfriend of famed YouTuber Tanner Braungardt. The couple would later break up in the summer of 2017 and she went on to gain her own social media following. She has collaborated with multiple clothing, food, jewelry and dental brands by promoting their products on her Instagram page.  Before Fame Tanner posted a YouTube video in 2017 titled "Meet My Girlfriend" to confirm that the two were dating.

Shehu Sani Reacts As Northern Youths Ask Dangote To Run For President

Former Kaduna Senator, Shehu Sani has advised Nigerian billionaire, Aliko Dangote and other business moguls to ignore the call to join the  2023 presidential race. Naija News reports that the Arewa Youth Assembly had called on Dangote, Femi Otedola, Ngozi Okonjo-Iweala, Mike Adenuga, among others, to join the race to succeed President Muhammadu Buhari in 2023. In a statement on Saturday, the Northern youths noted that Nigeria should not be left to the present crop of politicians, adding that those in the private sector have the managerial acumen and leadership skills the country needs.